mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,809
Hallelujah [emoji119][emoji445][emoji444]Nikupee jina ganii kwanii kila lakiherii ni upekee wakooo[emoji445]!
Kuna watu wana miaka 14 na wana ndevu mbona[emoji23]Af nddio unasema umezaliwa 2004
πππππ duh ww mzeee unanipanga sanaHuenda nilikosea, ila next time nitakucheki mapema tu nikifika.
Kuhusu hilo la pension usijali, nitakupa mtaji uuzalishe mara mbili ( Rejea nyimbo ya Kekundu by AIC Makongoro π€ͺ)
Upendo wanatupia vyuma vikali vikaliIla Upendo tv wana nyimbo nzuri , nilikuwa nasikiliza trace gospel , nyimbo zao za kawaida .
Ahahahah iyo sura watu wataota usiku uhuuWeka uso, nani anataka kuangalia hiyo miguu[emoji23]
Mimi nina 17 lakini sina ndevuKuna watu wana miaka 14 na wana ndevu mbona[emoji23]
Isikupe stress[emoji23]Mimi nina 17 lakini sina ndevu
Hahaha.................usijali Mkuu, nikifika Kibaha kwa Mathias nitakupigia kukutaarifu.πππππ duh ww mzeee unanipanga sana
πππ nipo bye kabisa kakaIsikupe stress[emoji23]
nitakuja na baisikeli yangu ya anita ile niliotoka nayo kijijiini ukoHahaha.................usijali Mkuu, nikifika Kibaha kwa Mathias nitakupigia kukutaarifu.
Usije ipeleka pension yangu Kidimbwi tu π€ͺ
sasa unawaza niniπππ nipo bye kabisa kaka
Yeah usiku wanapiga nyimbo nzuri sana , siwezi kulala bila nyimbo mie .Upendo wanatupia vyuma vikali vikali
Channel ya Mwamposa anajitahidi pia,
Mida ya usiku huwa wanaweka nyimbo,new gospel generation.
jamani jamani π
Bila filter utoboia ππ
jamani jamani π
kulikoni unanicheka ?jamani jamani π
mbona umefunika sura πkulikoni unanicheka ?
kwani kutumia filter dhambi ????Bila filter utoboia ππ
Siweki tena picha humuLips nzuri za kimahaba hapo kifuani tu mm hoi hapa