National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,199
Umeona anafafana na buku bee au sio 🤣🤣🤣Ahahah iyo 2000 inamtosha
Umeona anafafana na buku bee au sio 🤣🤣🤣Ahahah iyo 2000 inamtosha
Aaaaah mwalimu,, sio kweli bhanaHahaaaa!! Akikutafsiriaa fanya kunibip namie nije kuona maana yakee shougaaangu mie kaniacha Nyakibimbirii hukuuu!!










Ukishaanza mambo za buku 2 wewe utaishia kula kwa macho utaitwa sana shemeji hapa mjini![]()



embu acha zako muhimu show kaliKwanini?Unafaa kuolewa sana
Kwanini?
Haha, ni camera hizo jamani.Msafi sana
Haha, ni camera hizo jamani.
Kwa taarifa za chini chini inasemekana Mama anataka kutuongezea salio la mwezi Sisi Wastaafu 🙈🏃🏃Kuraaa maishaaa kuraaa maishaa kwaraha zakoo granpahhh!!
Fanya tumuone mpiga picha babuu Samalekoo! ✋
Nimesoma faini zake zimejaa jaa. Bora hiyo hela nijichange nikasafishe macho South Africa mwezi December 🤪G
GOnga mmoja uchangie pato
😅😅😅 shida mchango wenywe hatujui kama unaenda sehemu husika.. na wajuaji sana wanataka dollar tu kama tupo USANimesoma faini zake zimejaa jaa. Bora hiyo hela nijichange nikasafishe macho South Africa mwezi December 🤪
Hii Nchi imejaa upigaji kila mahali, hawa Tanapa si ndiyo vikao vyao wanafanyia Dubai au 😄😅😅😅 shida mchango wenywe hatujui kama unaenda sehemu husika.. na wajuaji sana wanataka dollar tu kama tupo USA
Tutafika ila kwa kutumia nguvu sana kama wananchi na kama taifaHii Nchi imejaa upigaji kila mahali, hawa Tanapa si ndiyo vikao vyao wanafanyia Dubai au 😄