cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,172
Ndugu mjumbe Nakugawaa ujueee☺️😂!!We acha tu nimechukua mpaka miwani ya fundi saa ili nione ndugu mjumbe
Kuna dawa inaitwa mdinda dindaa hiyo tunainywa kama chai.. unaweza usisimame siku nzima na kutapika juu kwa moto wake... nashangaa vijana wanaangaika na vumbi kumbe tuna vitu vya asili






si ntafia hapooo.Wivu tu wewe huna lolote...tafuta hela 😅😅😅Acheni unafiki![]()
Weekend njema, natoka online kabisa 😅😅😅😅😅 🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️Hivi unajua kwarisma imeisha na ahadi ni deni
Hebu nioneshee mmasai msomi, niishi nae.Wapo wamejaaaa tereeeee mbonaaaa!!!![]()





Mpaka asubhi Kwa rahagani jamni kutafuta yuti hai tu😀Kuna dawa inaitwa mdinda dindaa hiyo tunainywa kama chai.. unaweza usisimame siku nzima na kutapika juu kwa moto wake... nashangaa vijana wanaangaika na vumbi kumbe tuna vitu vya asili
Mdinda mdinda kaaa mbali na watoto laini laini unaweza kuua 🤣🤣🤣si ntafia hapooo.
Weee mjomba nilisikia nukseee sanaa weyeeeee! Hatareeeee🤣😁😁😁🤭🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️!!Sifukiiii wala neneeee yaniii... 🤣🤣🤣
Wivu tu wewe huna lolote...tafuta hela![]()



Unakula kona sioWeekend njema, natoka online kabisa 😅😅😅😅😅 🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
😅😅😅 kwani mnasomeka sasaMpaka asubhi Kwa rahagani jamni kutafuta yuti hai tu😀
Tupia 1, sijawahi kubahatisha kuona picha yakoo. Du ze nidifulu.Weekend njema, natoka online kabisa![]()
![]()
Acha tyuuu yanii!! Nasikia Utaomba pooo mwenyewe 😂😂😂🤭!Unarudi unakaa kwenye feni 😂😂😂
Mdinda mdinda kaaa mbali na watoto laini laini unaweza kuua![]()





🤣🤣🤣 hamna nukseee wala nini.. hizo nu fyununu tuuuu auntWeee mjomba nilisikia nukseee sanaa weyeeeee! Hatareeeee🤣😁😁😁🤭🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️!!
Mdinda dinda lol😂😂!Kuna dawa inaitwa mdinda dindaa hiyo tunainywa kama chai.. unaweza usisimame siku nzima na kutapika juu kwa moto wake... nashangaa vijana wanaangaika na vumbi kumbe tuna vitu vya asili
Utamfananisha na wale mademu zako? Tulia kwanza wakubwa zako tunaongea hapa watoto wa 2006 hawaruhusiwi humu😅Mdada wa watu mbona wakawaida sana uyo![]()
Hizo tunazijua watu pori 😅😅😅 vijana wa mjini wana madawa yao
Watu hawajaijua nn? Umenikumbusha kituu.
Utoto bhanaa. Lol
🤣🤣🤣Unarudi unakaa kwenye feni 😂😂😂