Nina mashaka usikute hela zote za kuvuka hapo ulikuwa unaenda kuzitumbua Kidimbwi Beach![]()
Kwema lakini? Mpe hi yoly yoly







Salaam Wige, nipo kutafuta pembejeo niwahi zangu shambani pamoja na kuosha machoSamaleko
Wale modo wazuriii ndio huyuMguu mzur wa mapenz
Umefikia kwa dada kigamboni eehSalaam Wige, nipo kutafuta pembejeo niwahi zangu shambani pamoja na kuosha macho
Kumbe Vijana mnaenjoi sana Maisha, Jana nimeona Vurugu zenu pale Liquid Pub hadi nikaogopa![]()
Na Uzee huu nifikie kwa Sister 🤔Umefikia kwa dada kigamboni eeh
Karibu sana daslam
Usiache kutembelea tunduma
Siku ukirejea kwenu
Hehehehe makubwa wapi umeona hayo mambo.Haya njoo chumbani univalishe boxer kama mm kaka ako
Habari Wige
Nipooo ndugu mjumbe itakua tunapishana tyuuu.. in cocas voice!Ndugu mjumbe unafungiwa sana
Karibu sanaNa Uzee huu nifikie kwa Sister
Hapo Tunduma nitapita wiki Ijayo, nataka nichukue mzigo hapo Black Market
Granpah ake Wigelekelo ☺️ wasamilie sana Daslammmm ,, ukirudi Kijijini usisahau kutuletea zawadi wajukuu zakoooo !!
Hahaha.......itapendeza, lazima Bibi yenu nimnunulie Vitenge vya Congo siku hiyo 🤗Karibu sana
Nitakutembeza hadi isoka
Uone vijiji vya majirani zetu
Thanks Mjukuu, siku moja moja sio vibaya kufanya ziara za kushtukiza Mjini 🤗Granpah ake Wigelekelo ☺️ wasamilie sana Daslammmm ,, ukirudi Kijijini usisahau kutuletea zawadi wajukuu zakoooo !!
Enjoy your weekend babuu✌️🤭!
That's our granpaah wauweehhh 💃😁🤭!Thanks Mjukuu, siku moja moja sio vibaya kufanya ziara za kushtukiza Mjini 🤗
Kuhusu zawadi za Mjini usijali, Bibi yenu naona amewajazia Kapu zima 🤪
Nzuri mpendwa na weweNzuri na sijambo
Vipi hali yako