robbinhood
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 538
- 1,532
Naked kabisaaa.
Mafua yananibana hapa hataree, yaan nahisi koo kukaukaa, napataje tabuu.pole jamani kama mie , sipo poa kabisa . Unaendeleaje leo ?
Niko vyedi sana Wigee Samalekooo!!
Tyupooooooo tumejaaa tereeee mkuuu tupiapo utubles basiiii!!Mmelala?
Hakuna hata mmoja wa kuweza kupita naked muda wa wanga huu na akaiondoa chap
🤣🤣🤣, nilitoka walau namie nikashangae shangae mujini hukoo sis akee !! Leo ndio dogo anamalizia ile pepa eeh???Mim niko tu😘😘
Nipo mkoani since jana huku alipo Antonnia lkn ajabu mwenyewe hayuko amesafil likizo kaenda kula bata huko Zambia.😁😁😁
Kwa hyo nmezubaaa acha.
Pole dear , flu sio poa .Mafua yananibana hapa hataree, yaan nahisi koo kukaukaa, napataje tabuu.
Yaan acha kabisaa, nahisi kuvurugwaa.Pole dear , flu sio poa .
Pata dawa ,Yaan acha kabisaa, nahisi kuvurugwaa.
Ndio ccy leo ndo anamalizia.🤣🤣🤣, nilitoka walau namie nikashangae shangae mujini hukoo sis akee !! Leo ndio dogo anamalizia ile pepa eeh???
Usijali ccyAsante sana Kwa upendo
Huko tunduma Kama machinjioni vileeeee..Karibu Tunduma
Shemeki
Mimi ni mzima
Afya tele
Oya huyu shangazi cio poa
Ana pepo huyoWigelekelo amenijibu njoo uone
😂😂😂😂😂Ana pepo huyo
kesho kwenye magazeti ya the guardian ukurasa wa mbele ni @Carrasco aonekana mahali akisotea picha ya mrembo @loveness 2 bila mafanikio subiria tu kesho mapema😁😁😁😁