Wewe ndio umemficha Bantu LadyUnakipimbia enda wapi tena mtoto mzuri!
haha dah!
Msalimie saana. Mzeehaha dah!
Sikukuu hizi watoto hawataki maneno mengi Sana we mzee wa hall 5
Bantu Lady ntampoteza kijana wangu wa hall 5
Nkamu wetu na mambo mazuri mazuri[emoji91]
Karibu TundumaNa Uzee wote huu unaniita Dogo [emoji12]
Kama utakuwa around sema niweke Order ya mguu wa mbuzi tuchome
Duh
MtotoNkamu wetu na mambo mazuri mazuri[emoji91]
sawa sawa,mrembo
safi sana
Cheusi Mangala aka chausiku🙃 unaend kusafish makazi ya mileleUkijitolea kanisani uchoki Gily leo ujatokea View attachment 2580501
Ndio ww si ujakujaCheusi Mangala aka chausiku🙃 unaend kusafish makazi ya milele