kiduku mpapaso
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 1,987
- 4,872
Nakusalim habari ya swaum Bantu LadyAnkoltabia mbaya kunitamanisha navyopenda. Mwenzako nimefunga mpaka Ijumaa kuu ipite
![]()
Nakusalim habari ya swaum Bantu LadyAnkoltabia mbaya kunitamanisha navyopenda. Mwenzako nimefunga mpaka Ijumaa kuu ipite
![]()
Karibu ndiyo nafuturu muda huu.Nakusalim habari ya swaum Bantu Lady
Kama na yaona mapochopocho hapo Bantu LadyKaribu ndiyo nafuturu muda huu.
Asante Kwa ukaribisho!!Karibu ndiyo nafuturu muda huu.
Bantu Lady anavojipenda weeeeh mapocho kama yooutreeee!!Kama na yaona mapochopocho hapo Bantu Lady
Bantu Lady yeye anajua mweli haujengwi na tofaliBantu Lady anavojipenda weeeeh mapocho kama yooutreeee!!
Kabisaaa mwili haujengwi kwa matofaliii ndugu mjumbe!Bantu Lady yeye anajua mweli haujengwi na tofali
NzeheBantu Lady anavojipenda weeeeh mapocho kama yooutreeee!!
Kitumbua kama kitumbua!!Nzehe
Anakula kitumbua huko
Wahi chap
We mzee japo sikukokei moto kesho nitapitia nikiwahiNzehe
Anakula kitumbua huko
Wahi chap
Kitumbua gani Wigee? Kama kitumbuaaaaaa nimeacha naelekea mwaka wa pili sasa. Ila kama kitumbua cha mchele navipenda kiwe na sukari 😋😋😋😋Nzehe
Anakula kitumbua huko
Wahi chap
Ndio maana yake ndugu mjumbeKabisaaa mwili haujengwi kwa matofaliii ndugu mjumbe!
Wewe ndio tumekumiss mbaya embu fanya jambo Bantu LadyAntonnia selfika basi nimekumiss mrembo![]()
Mwambie wewe ndugu mjumbe asubuhi nilitupia Bantu LadyWewe ndio tumekumiss mbaya embu fanya jambo Bantu Lady
Yaani na hivi niko kwenye mfungo ndiyo kabisa, nawezaje basi. Nikimaliza nitatupia.Mwambie wewe ndugu mjumbe asubuhi nilitupia Bantu Lady
Bantu Lady fanya futari iwe sawaMwambie wewe ndugu mjumbe asubuhi nilitupia Bantu Lady
Thauwaaathauwaaa mamalao tunasubiria kwahamuuu!!Yaani na hivi niko kwenye mfungo ndiyo kabisa, nawezaje basi. Nikimaliza nitatupia.