Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wow nimeweza yaani kuna kakitu kadogo tu. Leo kuna my friend kanifundisha 😂😂😂😂😂 kama darasa 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻 basi mtakuwa mnaquote my pics sasa. Game Over 💃💃💃💃💃💃💃💃
 
Alikuwa anakutafuta, sijui alitaka kukwambia nini? 😄😄😄😄😄😄
Hakujibu hilo swali.
haha!
Nimejitolea kumsemea mzee wa hall v.

Lazima twende mara mzee wa hall 5 tukakabidhiwe na sime kabisa za kutembea nazo viononi na wazee
 
Wow nimeweza yaani kuna kakitu kadogo tu. Leo kuna my friend kanifundisha 😂😂😂😂😂 kama darasa 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻 basi mtakuwa mnaquote my pics sasa. Game Over 💃💃💃💃💃💃💃💃
Hauchoshi kuangalika
Nipee ya chini Basi leo haha
 
Back
Top Bottom