raraa reree msaidie dada delete quatation yako mkuu ili picha isibakie; yeye hana ujuzi wa kuifutaKapachino please nisaidie umeona ndiyo maana sitaki kutuma pic uwiiiπ’π’π’
Pole dear sikujua nimeshafutaAaliyyah dear ukiniquote tu sitaweza kuifuta. mpaka ufute quote yako love naomba mamaa
raraa reree pia futa ulivyoquote hiyo picha ili niweze kuifuta. Bila hivyo haitafutika please
Pole nilitoka mtandaoni nimeshafutaAaliyyah dear ukiniquote tu sitaweza kuifuta. mpaka ufute quote yako love naomba mamaa
raraa reree pia futa ulivyoquote hiyo picha ili niweze kuifuta. Bila hivyo haitafutika please
Bado inaonekana.Usiniquote futa hii namimi nifute
Wewe tena ndiyo unaniquote juu. Utaota ndoto mbaya usilale usiku. Haya futa quote, picha haionekani. Sema ni mnyama gani nilimpost?Bado inaonekana.
Yap nilikuwa off mda kidogo
Tufute ushahidi nisidaiwe kesho picha πππππraraa reree msaidie dada delete quatation yako mkuu ili picha isibakie; yeye hana ujuzi wa kuifuta
Uliposti churaaa.Wewe tena ndiyo unaniquote juu. Utaota ndoto mbaya usilale usiku. Haya futa quote, picha haionekani. Sema ni mnyama gani nilimpost?
Bata mzinga umekoseaUliposti churaaa.
No inafutika sema kwenye simu yake sehemu ya edit haimpi iyo option! Ndiomana akipost anataka mtu asi iquote picha ili iwe rahisi kwake kuifutaYap nilikuwa off mda kidogo
Kumbe bado sijajua kutumia jf ukimquote mtu pic hawezi futa duh aisee
Kwani umeiba mme wa mtu ati? Hata ikibaki inaelea? hahaha Si haudaiwi pia mtoto mzuriTufute ushahidi nisidaiwe kesho picha πππππ
Msalimie mwambie pic ilikua π₯ πNo inafutika sema kwenye simu yake sehemu ya edit haimpi iyo option! Ndiomana akipost anatoka mtu asi iquote picha ili iwe rahisi kwake kuifuta
HahahaBata mzinga umekosea
Bantu Lady huyu ana ulimwengu wake humu ndani.Msalimie mwambie pic ilikua π₯ π
Mwambie aendelee kutupia somo limeeleweka na nitawaambia wengine πBantu Lady huyu ana ulimwengu wake humu ndani.
She is so beautiful hakika
Nikasema kijana umeona mambo mazuri umelamba mbele! Vizuri uliwahi kuja. Maana Mimi ndio ningejisikia vibaya zaidi maana ndi niliyemuomba Bantu Lady naye bila hiyana akakubali mtoto wa watu sababu ni msikivu pia.Mwambie aendelee kutupia somo limeeleweka na nitawaambia wengine π
Hivi kumbe ni wewe umefanya mpka atupie π na mtoto akatupia aisee nimeshaanza kukuonea wivu umempa nn πNikasema kijana umeona mambo mazuri umelamba mbele! Vizuri uliwahi kuja. Maana Mimi ndio ningejisikia vibaya zaidi maana ndi niliyemuomba Bantu Lady naye bila hiyana akakubali mtoto wa watu sababu ni msikivu pia.
Haha! mapenzi yake kwa selfika na kwa Mimi kaka ake hapa kapachino! Ili tufurahi na kuongeza siku za kuishi.Hivi kumbe ni wewe umefanya mpka atupie π na mtoto akatupia aisee nimeshaanza kukuonea wivu umempa nn π
Haya mungu aendelee kuwabariki πHaha! mapenzi yake kwa selfika na kwa Mimi kaka ake hapa kapachino! Ili tufurahi na kuongeza siku za kuishi.