Selfika na JF: Snap it. Show it

mpaka ofisini unaimbwa mtoto Mimi Ni nani? nyuma ya keyboard nisikuimbe!

Chino inabidi nitafute pesa niache maneno mengi na kujieleza Sana aise.
Maofisini utawaweza, huko kila mtu atapewa jina, ili mradi tu. Kuna mmoja chotara wa kiarabu na kihaya. Basi anapenda aonekane na kalio na huwa ananitania, mkwe nipunguzie ...
Sasa Mkaka mwingine huwa anamwambia ungekuwana nalo weyee tusingekunywa maji πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
nshomile tena kwa sifa wameshashindikana! wewe humuoni mnyama mkali tokea nshambya_ bukoba Antonnia anavyojiamini.

Sema limentain usije ukaingiwa na akili ya kiwema sepetu utamkwaza Sana kapachino
 
Enzi za jumong and land of the wind.

Jumong ndio ilikuwa habari ya mji
Hii land of the wind niliianziaga advance! Kila ijumaa na jumammos! Mlinzi alikuwa anamtindo wa kuficha key ya kuchukulia tv; ikifika siku izo. Kuna siku tulimtembezea chapo kisa icho itu. Ulikuwa hautuambii kitu kuhusu mchizi Jan bok
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…