Selfika na JF: Snap it. Show it

Mwenyewe Huyo!
Karani wa juma Aweso( waziri wa maji)

Koo lilini kaukaga na kile kispika kumnadi jamaa ila finally nikalamba u_tester nikaachana na miamala ya kule conas.
We ulikuwa unakula bureeee bila Shaka daruso bar hahaha....

Au nyinyi ndio mlimsapoti jamaa alafu mkaja
Mchagua nickson Yule wa sheria??
 
πŸ˜πŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸ€£!
Mnywanii Nakugawaa bureee ujue 🀣!!
Uchovu wa majukumu banaa!🀭
ahaaa ok!
Leo nilipita mavurunza sec kimara! Nikakuta vi form 4 vidume vimemdindia madamme

Nikakukumbuka sana
 
We ulikuwa unakula bureeee bila Shaka daruso bar hahaha....

Au nyinyi ndio mlimsapoti jamaa alafu mkaja
Mchagua nickson Yule wa sheria??
Yule mwamba sijui alitoboaje upepo alikuwa Hana kabisa.

Haha nilikuwa cafe 2! Mzee.
Mwaka wa mwisho menu yang haikuwa ya kitoto

Haha nilisahau mikate ya kariakoo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…