Selfika na JF: Snap it. Show it

Saivi nina miaka mingi Mjukuu, almost nakaribia Umri wa Mzee Mwinyi 🙈
 
Ungemkaribisha morning glory ukute na yeye kaokoka na ni mchungaji[emoji3][emoji3]
Nilijua nikiongea naye nitampa shetani nafasi.
Naona naye ameokoka kaka wa watu.. akaishia kuniangalia tu,,,
Mimi nikishachomoka tu ni miendo,, hata pembeni siangalii.


Wote tumeshukia mlango mmoja,, huu wa upande wa dereva pembeni ambao huwa unafunguliwa kwenye vituo vya mwendokasi.
Sasa pale Mbezi ukishukia ule mlango lazima uruke..
Tumeongozana wote, ananiangalia..
Akaruka, nikaruka
Nilivyoshuka hapo mimi ni mwendo hata nyuma huwa sigeuki Tena.
 
Faida za mvua kunyesha

Hisia zinakuja asap

Bila shaka ulilowa
 
What a loss?? Huyo shetani mnampiga na maombi anawaacha na yenu. [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…