Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yanga yenye wakaka wazuri, wadada wazuri. Yanga wote naowajua ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] hakunaga Yanga mbovu.
Sijui wanao jitekenya na kucheka wenyewe... ili uwe Yanga lazima uwe na kiwango...
Hatusubirii ushindi, tunashangilia ushindi.... [emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617]
Tutaona leo kwani saa moja mbali
 
Hamna cha u creative Sisi dini zetu za kuletewa ndio ziketukaataza.

Hao hawana dini hizi zetu.

Kudos kwao
Kweli?

Waislamu wanakatazwa kula mbuzi wa Vatican (kitimoto). Sisi Wagalatia huku tunakatazwa kula nini? Labda Wasabato wanaoshikilia baadhi ya visheria uchwara vya Musa mf. kutokula samaki wasio na magamba, wanyama wasiocheua, wasio na kwato/miguu iliyopasuliwa, nyamafu, kitimoto n.k.

Kihistoria Wachina walishapata njaa kadhaa wakapukutika kweli kweli. Hata majuzi tu hapa wakati wa mapinduzi ya Mao waliteketea sijui milioni mia ngapi sababu ya njaa. Inasemekana walijifunza kula karibu kila kitu katika hekaheka hizi.
 
Back
Top Bottom