Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji28][emoji28] japo wengine wanapata wivuuu hadi naitwa mwenyekiti wa wajinga .. mmoja alishindwa kuvumilia akanichana nikajua wivuuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] nahisi alikuwa hajui kuwa sinaga akili toka zamanii za zama
Kuna mwingine

Alinitukana kihaya 'your very stupid'

Nikamshangaa[emoji1787]

Hakujua maskini watu wa hovyo hovyo

Tulivyojaa humu[emoji1732]

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
 
Kuna mwingine

Alinitukana kihaya 'your very stupid'

Nikamshangaa[emoji1787]

Hakujua maskini watu wa hovyo hovyo

Tulivyojaa humu[emoji1732]

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
😅😅😅 wao wanafikiri sote tuna maisha mepesi mepesi kama wao, na wanafanya kosa kufikiri wote ni ma genious kama wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…