Selfika na JF: Snap it. Show it

Yes mpole mtaratibu yupo serious sipati picha alivyokuwa binti,mi nilikuwa nahisi tu mwarabu halaf mzenji
 
Yes mpole mtaratibu yupo serious sipati picha alivyokuwa binti,mi nilikuwa nahisi tu mwarabu halaf mzenji
Ana sura ya kazi
Awe anatabasamu kiasi.
Juzi kati wamemfanyia interview ndio akasema.
Watu wa FB sasa,wanasema yote haya kayaleta afande wa connection 🤣🤣🤣eti sasahivi kila mtu anakataa kuwa si mzenji.

Niliona zile events 2 mwanza na Dar, fundi sana huyu Mama.
Kwa sauti sijaona anayemfikia, basi tu wengine umaarufu unawabeba.
Mke wa mzee Yusuf huwaga nampends pia anavyotabasamu
Ila sura yake mmh, ngozi yake sijui ipoje
Ina mabonde.

Kopa mbwembwe nyingi, anawahi kukata pumzi.
 
Ahhaha afande kafanya watu wanakana au sio hadija kopa anapenda kiki huyu mama itakuwa pia kashika dini sana nahisi
 
Attachments

  • 9AEC9C7C-920F-447B-8041-EAA143C4E231.png
    725.7 KB · Views: 3
Eee 😂😂
Kuna comment huyu mama alivyosema baba yake myemen
Mtu kaandika myemen wa wapi anaitwa mchachu🤣🤣🤣🤣
.
Kwakweli hawa wawili walichomzidi huyu mama ni umaarufu tu
Ila sauti na muonekano amewapita mbali sana.
 
Jamani si uniwekee link nikachekee
Ina maana anaitwa Sabah Salum mchachu 😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…