National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
πππ aunt umesahahu, uchebe tutaonyoa pacha wakizaliwa bado miezi michache tuuu..Huo uchebe ufanye uushevu vizuri Mjomba itabidi nije kukunyoa vizuri shangazi ako walai umezifuga sio kidogo Mjomba πππ!!
Wabheja sana hapa usiku Wangu unaenda kuwa fureeeeeeeeesssshhh kabisaaa Santo sana!
Uwahi nikulishe na firigisi nimekutunzia πππAwwwwwwwπππππ Navopenda kyukyuu sasa kama ulijuaaaa!!!!
Nakuja kula fastaaaa hapo mjomba!
Swalamaa swalminnn ndugu mjumbe za wewe!!Ndugu mjumbe swalama
Ahaaaa nimekumbuka tatizo uzee mjomba nishaanza kupoteza kumbukumbu aunt yako!!ππππ aunt umesahahu, uchebe tutaonyoa pacha wakizaliwa bado miezi michache tuuu..
Firigisi si mnakulaga wanaume mjomba mie niwekee maini na paja moja vyanitosha!!Uwahi nikulishe na firigisi nimekutunzia πππ
Safi kabisa aise ndugu mjumbeSwalamaa swalminnn ndugu mjumbe za wewe!!
Kumbe unajua aunt wangu.. nimekuwekea vote hivii uje ujilie zakoo ππ kitu cha kienyejiFirigisi sinakulaga wanaume mjomba mie niwekee maini na paja moja vyanitosha!!
Mpaka waleo hujarudi town ndugu mjumbe?!Safi kabisa aise ndugu mjumbe
Wabheja sana Ndugu mjumbe hata hii inatosha kufanya nirare vizuree leo;!ππTunasubiri basi linakuja mara moja kwa wiki ndugu mjumbeView attachment 2545105
Kama mie Nilivo wa kienyejii mjombaa nakuja fastaaaa πΆπΌββοΈπΆπΌββοΈππ!Kumbe unajua aunt wangu.. nimekuwekea vote hivii uje ujilie zakoo ππ kitu cha kienyejiView attachment 2545096
Kienyeji + kienyeji = π₯π₯π₯ unahisi kama upo mbingu za mbiguuu.. nikuandalie na kinywani gani aunt wangu ππKama mie Nilivo wa kienyejii mjombaa nakuja fastaaaa πΆπΌββοΈπΆπΌββοΈππ!
Wine isiyolewesha mjomba!!Kienyeji + kienyeji = π₯π₯π₯ unahisi kama upo mbingu za mbiguuu.. nikuandalie na kinywani gani aunt wangu ππ
π«‘π«‘π«‘π«‘ aunt wanguuu huyooo mzuri sanaaa lips hizo ππ jicho ilooo πππ langi ya pure goldUsiku mwema wapendwa mrare unono!!βοΈβοΈβοΈ
Nikapumzishe fuvu langu kwaleo inatosha π΄π΄π΄
ππππ€Έππππ!π«‘π«‘π«‘π«‘ aunt wanguuu huyooo mzuri sanaaa lips hizo ππ jicho ilooo πππ langi ya pure gold
Umepata aut wangu π sema nini kingineWine isiyolewesha mjomba!!
beauty with brain aunt wangu huyo Antonnia πππππππ€Έππππ!
Santo sana mjomba!!
Kingine ntakuja kukwambia hapohapo mjomba hapa noumaaa πππ€Umepata aut wangu π sema nini kingine