HapanaEty wewe ndiyo samia?
Kachumbari ya yai?View attachment 2541737
Wacha leo nimsaidie Bibi yenu kupika, naye ashinde anaangalia Tamthiliya tu [emoji847]
Happy Women's day to all Mamas out there, we love you [emoji7]
Mbona wakati anaongea hukuwa online?Hapana
Teh teh teh .Kidogo niseme nenoMorning selfika!!
Hahaa...unaruhusiwa kuchitchatika mkuu sema tuπ!Teh teh teh .Kidogo niseme neno
Naweka akiba ya maneno nitasema pale tuu picha itaanzia chini ya kitovu kushuka chiniβΊοΈβΊοΈβΊοΈHahaa...unaruhusiwa kuchitchatika mkuu sema tuπ!
Chini ya kitovu tena ππππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππNaweka akiba ya maneno nitasema pale tuu picha itaanzia chini ya kitovu kushika chiniβΊοΈβΊοΈβΊοΈ
Yako ya kuanzia chini ya kitovu kushuka chini iko wapi mkuu Hebu nioneshe Mfano kwanzaπ!Naweka akiba ya maneno nitasema pale tuu picha itaanzia chini ya kitovu kushika chiniβΊοΈβΊοΈβΊοΈ
"Simama mashemeji zako wakuone "Na Mimi ni mmojwapo wa kutambulisha Kwa namna hiyoChini ya kitovu tena ππππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ
Pengine umenielewa vibaya mkuu sikuwa na maana uonyeshe kitovu.La hasha nilihitaji kuona baraka za Muumba kama asemavyo sheikh kipoozeoYako ya kuanzia chini ya kitovu kushuka chini iko wapi mkuu Hebu nioneshe Mfano kwanzaπ!
Ndio naomba unioneshe mfano picha yako isio ya oblique nione inavokua geography nilifeli mimi!"Simama mashemeji zako wakuone "Na Mimi ni mmojwapo wa kutambulisha Kwa namna hiyo
Ndio maana nikasisitiza picha ikiwa chini yaani isiwe oblique naweza nikatia neno
Nioneshe Mfano mkuu Mie kilaza mgumu sana kuelewa bila teaching aid!!Pengine umenielewa vibaya mkuu sikuwa na maana uonyeshe kitovu.La hasha nilihitaji kuona baraka za Muumba kama asemavyo sheikh kipoozeo
Patamu hapoo.tuivuke hii tunaweza tukaendelea na stori zingineNdio naomba unioneshe mfano picha yako isio ya oblique nione inavokua geography nilifeli mimi!
Kasimu kangu hakasapoti pichaNioneshe Mfano mkuu Mie kilaza mgumu sana kuelewa bila teaching aid!!
Mbona Ghafla sana ππ!!Patamu hapoo.tuivuke hii tunaweza tukaendelea na stori zingine
Imeisha hioooπβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈ!!!Kasimu kangu hakasapoti picha
Bado nipo nipo mkuu natafuta Uzi unaotrend akili isikae kinyongeMbona Ghafla sana ππ!!
Haina noma mkuu uwe na wakati mwema!!π!
Hapana Mkuu, hapo nilikuwa natengeneza mchanganyiko wa Ndizi na Utumbo wa ng'ombe πKachumbari ya yai?