🤔😳 Carrasco putin mara moja sana naomba uje ujibu hili shitaka maana nlikupatia barua ya hela umpelekee Tinsley kipenzi changu iweje mpaka leo hajaipata?
Ndio nawaza sijui hata nizifanyeje yani ningekua nimeweka dawa ningeretouch nikabana for sometime then Ndio nisuke nina manywele mabayaaaa afu sijaweka dawa sasa!!