Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
Kufanya kilimo cha umwagiliajiHahahaaaWigelekeloakishashiba ugali wake wa kisukuma....
!
Weeeee babu hiko kipengele hakuna kupitishwa kwani kazi hamfanyi pekeenuu weee msitutanieeee!!
Kufanya kilimo cha umwagiliaji
Sio kazi ndogo ujue
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Nakaziaaaaaaaaaaaaaaa ππππππππππππππππππππππππππππππππππ!!!
Thanks Mjukuu, leo nimeimprove kutoka kupika Chai hadi Lunch π€Hongera unajua sana babu imetoka mwakeeeππ
ππππππYanii! Ujuaji mavikunuka tu madam hakuna lolote!Watu wamechoka
Wew mpenda ubuyuππππππππYanii! Ujuaji tu madam hakuna lolote!
Hivi huyu mtu yupo kweli au nae karandinga la ban limepita nae
Hapana madam mi hata sipendi ubuyu wala ni kweli kuna pipo nyokk sana humu binafsi hadi walinisababishia ile ban kisa ujinga ujinga usio hata na maana. Humu kuna kufatiliana sanaWew mpenda ubuyuππ
Habari za siku tele Mkuu?Nakuangalia tu
Zee la mchongo
Nilikuwa mitaa yako
Nilicheka sana
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Anaachwaje kwa mfano!! Nae walipita nae bana nimemiss sana uchangamfu wake humu akiwepo japapoi hapaboi!Hivi huyu mtu yupo kweli au nae karandinga la ban limepita nae
Polesana ni vema kujiwekea privacy zako vizuri wanawake hatupendani na tunapenda mtu aanguke ndo furaha yetu wachache wenye upendo ulipoteleza usirudie ujifunzie hapo πHapana madam mi hata sipendi ubuyu wala ni kweli kuna pipo nyokk sana humu binafsi hadi walinisababishia ile ban kisa ujinga ujinga usio hata na maana. Humu kuna kufatiliana sana
Mm walinipa ya siku Tatu nisicomment selfika sijui nilikosea nn aisee ila fresh tu πAnaachwaje kwa mfano!! Nae walipita nae bana nimemiss sana uchangamfu wake humu akiwepo japapoi hapaboi!
Mitaa yakoHabari za siku tele Mkuu?
Ungenijulisha kama uko mitaa yangu Lazima ningekupa ofa ya kleti 1 la Balimi beer
walinipa ban ya selfika week nzima aisee sasa nimekuwa mzito humu .Mm walinipa ya siku Tatu nisicomment selfika sijui nilikosea nn aisee ila fresh tu
Pole sana wako serious aiseewalinipa ban ya selfika week nzima aisee sasa nimekuwa mzito humu .
Yeah wapo serious naona ..Pole sana wako serious aisee
Hahaha.........karibu tena siku nyingine Mkuu.Mitaa yako
Hakuna safari ndogo
Ni mibia mikubwa na mipombe migumu
Nili enjoy samaki, maziwa, muchele, ugali na mbogamboga kama zote
Next time nikija nitakuletea soya refined oil kutoka Lusaka
Warembo wa huko ni midada mikubwa mikubwa
Imeenda hewani hatari
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Babu kumbe unapamba wanawake huko na husemi tukusaidie lol uko vizure ππ€ππππ!Hahaha.........karibu tena siku nyingine Mkuu.
Ndiyo maana Wanaume wa huku tunakula sana ili kujaribu kuendana na kasi ya Warembo wetu, kama huna nguvu za kutosha watakutoa knock out π€ͺ