Selfika na JF: Snap it. Show it

Wigelekelo noumaa sana babuu hakutaka hata mtu apumuee ni kazi kaazi almost miezi miwili hakuna kupumzikaa lol Wige mtu mbad sana kumbe!![emoji4]
Nilikuwa pori rafiki

Chuma iliroga mashine

Ikabidi niwe mpole

Halafu sijatenda dhambi

Kama huamini

Nakuja tuthibitishe[emoji125]

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2541737
Wacha leo nimsaidie Bibi yenu kupika, naye ashinde anaangalia Tamthiliya tu πŸ€—

Happy Women's day to all Mamas out there, we love you 😍
Wee babu kumbe unajua kupika hivi??πŸ€”πŸ€”πŸ€”
Uko vizure sana babuu !
Hongera sana kwa kumsaidia bibi jikoni leo ubarikiwe sana kutambua siku yetu granpaahhh!! wabheja sana✌️✌️
 
Wigelekelo noumaa sana babuu hakutaka hata mtu apumuee ni kazi kaazi almost miezi miwili hakuna kupumzikaa lol Wige mtu mbad sana kumbe!!😊
Saivi unaweza kuta kapungua kilo za kutosha, yale mambo ni kazi kama kazi nyingine tu.

Kwenye katiba mpya tutaweka kifungu tuwe Tunalipwa Wanaume πŸ™ˆπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Wee babu kumbe unajua kupika hivi??πŸ€”πŸ€”πŸ€”
Uko vizure sana babuu !
Hongera sana kwa kumsaidia bibi jikoni leo ubarikiwe sana kutambua siku yetu granpaahhh!! wabheja sana✌️✌️
Hahahaha.........najaribu Mjukuu, nina miaka mingi sijapika wacha leo ni practice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…