Mfupi kama ujuavyo watu wafupi
Mbishi π
MuombeeHahahaha
Ningeweka Status hii,
sema nina dada yangu ...........
Weka na ile ogHappy women's dayzz[emoji3590][emoji3590]View attachment 2541638
Amna bhna story tu ilikuwaππAlaf hiyo screenshot uliyofuta. Irudishe. Inaonekana kuna jamaa Yuko pending anasubiria jibu lake π π
Iyo hena nimependa nitakuja unichoreHappy women's dayzz[emoji3590][emoji3590]View attachment 2541638
π π π Story za vile, jamaa yupo serious πAmna bhna story tu ilikuwaππ
Hamna story utani utani tu ππ π π Story za vile, jamaa yupo serious π
Nimeona, Nimeona.Happy women's dayzz[emoji3590][emoji3590]View attachment 2541638
Likifika kwa mzee wangu ataniambia, nipost status ya kuwaomba msamaha mabinti wote ambao hawajaolewa.Utaitwa kwenye kikao Cha familia
Ngoja nitafute iambatane na maombiπLikifika kwa mzee wangu ataniambia, nipost status ya kuwaomba msamaha mabinti wote ambao hawajaolewa.
[emoji1787]Unapita hivi[emoji125],,
Hila umri bhana,tukiwa na 23yrs tunasema tupo na 32 yrs[emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja ugonge 32 yrs[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Ngoja nifikishe 25 kwanzaView attachment 2541137
Anataka liwazoSema tu tunajua kujofariji[emoji16][emoji16][emoji16],
Nina aunt yupo na 32yrs ana kazi nzuri nyumba nzuri na mtoto pia anae, kipindi yupo na 28 alisema hataki kusikia kuhusu ndoa[emoji16][emoji16]
Now ni muumin wa kawe kusaka ndoa,
Hasira tu sijui shida nini[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama huyo ni utani utani. Basi ruhusu nikuweke kwa mdogo wangu πHamna story utani utani tu π
Wasukuma
Mkiwa vigoriMungu atusaidie [emoji3][emoji3]kwakweli tukiwa mabint Bado
Wamakua wengiSio tusio kuwa wazuri Kwamba ndo hatutakiw kuolewa[emoji853]
Hebu olewa bhanaNimemwambia akae Kwa kutulia Bado sijakua [emoji3]
Mambo ya. Ndoa ni mazito mno miaka hii ngoja tuone mwak ujao
Cc mzabzabHappy women's day[emoji7]View attachment 2541592