Nitaanza kampeni ya kukumbushia ili swala. Naungana na mama π π πNajiona Bado Bado japo anaongeaga ukweliπ
Sasa hapo nani bahiri?Kweli kabisa ππila nimemzidi kitu kimoja tu ubahili πππ
Baada kuona hii picha. Nakubaliana na Mama. Huu mwaka uolewe πHappy women's dayπView attachment 2541592
Sasa hapo kaka unataka kumkumbusha tena badala ya kumwambia aje wapi ili umkutanishe na dogo wako. Maana wewe kwa huyu tena mmeachana levelNitaanza kampeni ya kukumbushia ili swala. Naungana na mama π π π
Mimi aisee hatuelewani kwenye mambo ya Hela kutumia ela yangu bila mipango πni hakuna kuelewanaSasa hapo nani bahiri?
Aisee wewe sio unafaa tu kuwekwa ndani bali wewe ni wa kufichwa ndani haswa.Mimi aisee hatuelewani kwenye mambo ya Hela kutumia ela yangu bila mipango πni hakuna kuelewana
Yaani weweBro Kuna mtoto wa mtu nataka nisikilizie kwanza mwakani hivπNataka kuwa serious na maishaπView attachment 2541628
Maybe awe graduater wa jana ambae Unahisi hana mipangoBro Kuna mtoto wa mtu nataka nisikilizie kwanza mwakani hivπNataka kuwa serious na maishaπView attachment 2541628
HahahahaUnapita hivi[emoji125],,
Hila umri bhana,tukiwa na 23yrs tunasema tupo na 32 yrs[emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja ugonge 32 yrs[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Ngoja nifikishe 25 kwanzaView attachment 2541137
Mwanaume wa kuoa hahitajiki Cv kumuelezeaππLete cv yake niipitie ππ
Mimi ndio inabidi nipitie CV zenu wote wawili. Haya leta yako π π πLete cv yake niipitie ππ
Atakupandia hewaniHahahaha
Ningeweka Status hii,
sema nina dada yangu ...........
Mfupi kama ujuavyo watu wafupiMimi ndio inabidi nipitie CV zenu wote wawili. Haya leta yako π π π
Hapo sasaπ€£π€£Kaka unatenda hakiMimi ndio inabidi nipitie CV zenu wote wawili. Haya leta yako π π π
Inabidi iwe hivyo πHapo sasaπ€£π€£Kaka unatenda haki
Utaitwa kwenye kikao Cha familiaHahahaha
Ningeweka Status hii,
sema nina dada yangu ...........
MashallahHappy women's dayzz[emoji3590][emoji3590]View attachment 2541638