Sio tusio kuwa wazuri Kwamba ndo hatutakiw kuolewa๐[emoji849][emoji849]View attachment 2541130
Aliyetengeneza hiyo meme, alikuwa anatupa dongo somewhere. Soma tena vzr ๐ ๐ ๐Sio tusio kuwa wazuri Kwamba ndo hatutakiw kuolewa๐
Nanyi msiwe nyuma nyuma km mabanda ya nyumba kubwaMungu atusaidie ๐๐kwakweli tukiwa mabint Bado
Ngoja nirudie rudie amenikatisha tamaa ๐Aliyetengeneza hiyo meme, alikuwa anatupa dongo somewhere. Soma tena vzr ๐ ๐ ๐
Hahha tuko nyumaNanyi msiwe nyuma nyuma km mabanda ya nyumba kubwa
Hataki watoto wale nyasi ๐๐๐๐Hahha tuko nyuma
Mm Mungu anisaidie bi Mkubwa nae sikuelew naona anataka ale mpunga sio Kwa madarasa haya anayonipa kilasiku ๐๐๐nikikaacpekeyng nacheka sana
Sawaaa ๐ ๐Ngoja nirudie rudie amenikatisha tamaa ๐
Sasa hapo unasubiri nn tena rafiki yanguYaani ๐๐anasema namchelewesha kupata wajukuu
Bi mkubwa anaona binti yake huchangamki. Fanya kweli, mwaka wako huu๐ ๐Hahha tuko nyuma
Mm Mungu anisaidie bi Mkubwa nae sikuelew naona anataka ale mpunga sio Kwa madarasa haya anayonipa kilasiku ๐๐๐nikikaacpekeyng nacheka sana
Bi Mkubwa ameongea ukweli, na alikuwa anajaribu kusend msg kwako. I hope ulimuelewa ๐ ๐ ๐Kilawiki anaamka na mada mpya๐jana tulikuwa tunqzungumzia ndoa kuvunjika sana
Ngoja nimnukuu ya Jana anasema
"Waolewaji wa sikuhiz nawashangaa sana anataka kilakitu mwanaume afanye mwanaume amjali ampemde Sana
Akusikilize wew tu๐
Akirudi kazin kilasiku aje na zawadi
Awape Hela wazazi wake
Amnunulie nguozote navocha
Awajali nduguzake
Asimamie ujenz wa nyumbayenu ๐
Utampata wapi wa hivo Kwan yeye Hana kwao kwenye ishirin mnayotaka mtapata mawili tu au matatu mkikosa hayo mengine ndo amkubali๐๐๐
Aisee
Nimemwambia akae Kwa kutulia Bado sijakua ๐Bi Mkubwa ameongea ukweli, na alikuwa anajaribu kusend msg kwako. I hope ulimuelewa ๐ ๐ ๐
Acha basi. Mama anakujua vizuri sana mwanae. Anaona wewe upo tayari, unafaa kuwekwa ndani ๐ ๐ ๐Nimemwambia akae Kwa kutulia Bado sijakua ๐
Mambo ya. Ndoa ni mazito mno miaka hii ngoja tuone mwak ujao
Najiona Bado Bado japo anaongeaga ukweli๐Acha basi. Mama anakujua vizuri sana mwanae. Anaona wewe upo tayari, unafaa kuwekwa ndani ๐ ๐ ๐
hizi za ushungi ndo zenyewe sasaHappy women's day๐View attachment 2541592
Ujue unajichelewesha bure kufata ushauri wa bimkubwa... Shauri yakoHappy women's day๐View attachment 2541592