Haya maisha hata uwe na Mali kiasi gani, kuna point utafika utahitaji life partner, pia utahitaji family. Maana sio muda wote tunahitaji kushauriwa, sometime unahitaji mtu wa kukuhug, then akwambie everything will be okay. Mtu ambae haendi kokote, muda wake ni wako.