daah sema tatizo wale wahudumu wako fasta kitendo cha kunyanyuka kuenda kunawa tu unakuta kashakutolea vyombo yuko anakung'uta mabaki kwa trash can
kwanza nilivyomaliza hiyo si nikaagiza nyingine take away ili nimpelekee dada nyumbani,, sasa ungeniona nilivyokuwa nahangaika kuvitumbukiza kwa pochi ungecheka yaani wale wahudumu nahisi walikuwa wanachekea ndani kwa ndani tu..