kiduku mpapaso
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 1,987
- 4,873
Naombae Bantu LadyJioni hii kwa juice, chai ya maziwa...View attachment 2536126
Hii imenipitaAntonnia was here guys enjoyur evening and takes care of yourselves wapendwaaa [emoji3577][emoji8]!
Bantu Lady kiduku mpapaso Tayukwa leadermoe
Uje unisaidie kuvuna Mjukuu 🤗
Mi nasubiri mafuta tu babuUje unisaidie kuvuna Mjukuu [emoji847]
Jambo mrembo
Jambo sana
Shamba limependeza[emoji173]View attachment 2535935
Mwaka huu lazima tupandishe bei ya Mafuta ya Kupikia hadi ifike 20,000/Lt ,manake Kulima tumeachiwa sisi tu Wazee [emoji2957]
Hello Friday [emoji1635]
Kijana hongera wa kike au kiume?Leo siku ya kukaa na kijana wangy gu sang gu
Nyiie mtoto raha onGezeni nguvu kutafuta
Kijana unakula bataView attachment 2536646
[emoji16]
Mrembo wangu mamboShamba limependeza[emoji173]
Ndiyo usisahau kuninunulia dawa ya Magugu 🤪Shamba limependeza[emoji173]
Usijali mjukuu, utapata lita 20 bila shaka
Nipe connection babuNdiyo usisahau kuninunulia dawa ya Magugu [emoji2957]
Nyie vijana mkisema connection mnaweza mkawa mnamaanisha zile connection zenu zile nyingine 🤪Nipe connection babu
WakiumeKijana hongera wa kike au kiume?