# katika dunia hi ya leo..
Hutakiwi kumchukia mtu eti kwa sababu yeye anakuchukia.
Umuheshimu kila aina ya binaadamu aliyemuumba mungu.
Awe mtoto, mkubwa, mzee, au kijana wote unawaweka kuwa sawa.....
Leo inawezekana una uhakika kuwa unamjua mbaya wako.
Lakini uwezi kumjua mtu atakaekupa mafanikio......