ChiefAmkeni tuselfike
Nipo madamChief
Pole madamMie na picha tushaachana hahaha ... Mjep
zishakuwa mbaya siku hizi , hazina jipya .. Thank youPole madam
Usiache bana utatunyima kuona lips saaafi kabisa
Ebu tuone?πzishakuwa mbaya siku hizi , hazina jipya .. Thank you
Sawa basi kesho upite chama nikupige nitupie hapa selfikaWewe ndo camera man ujue . Napigaje mwenyewe wakati una simu inayolingana camera na google pixel Mjep
Okay , nitashukia hapo nipate picha safi ..Sawa basi kesho upite chama nikupige nitupie hapa selfika
Ila simu yangu ni ndogo haina pixel kubwa kama unavyodhani
NitakusubiriOkay , nitashukia hapo nipate picha safi ..
Sidanganyi mie akiiNitakusubiri
Ole wako unidanganye
Last time π π π π View attachment 2525624
Ankol National Anthem πππππ BF πππ ukimaloza unashushia na juisi ya baridi.
Aunt Bantu Lady chagua moyaa hapo nikuletee upozee kooAnkol National Anthem πππππ BF πππ ukimaloza unashushia na juisi ya baridi.
Orange Ankol japo najua, ungenichagulia Avocado ... mambo ya green ππππ Tena bora kabla sijagugumia Pepsi baridi hapa...Aunt Bantu Lady chagua moyaa hapo nikuletee upozee kooView attachment 2525971
View attachment 2525973
π π π Pepsi big ... kati ya soda nilizo zishinda ni hizo.. mie huwa fanta orange.. hapo ningekubebe zote unazinywa kwa masaaaOrange Ankol japo najua, ungenichagulia Avocado ... mambo ya green ππππ Tena bora kabla sijagugumia Pepsi baridi hapa...