Nafasi wanepewa bad boys tuπ π π ni rahisi kukutana na Philip Mpango au IGP ila sio mashangazi a humu
π πHebu nione
Kwanza nifundishe ili nikifuta isionekane, hata mtu akiwa amequote.Haha hawataki kapachino asafishe nyota Bantu Lady fanyeni wepesi ebu
Asante aunt nimeona uchebe
tatizo lips ndo zime lifanye dishi langu liyumbe kidogoUmeanza kuvuta nawe sikuhiz Kwa picha gani sasa π
Wenye nyota zao mzeeeπ πNafasi wanepewa bad boys tu
Sasa nikose vyote best nikose na lips nitakuwa mtu kweli angalau nimepata Cha kuwaringishiaπππtatizo lips ndo zime lifanye dishi langu liyumbe kidogo
Haha easy tu! Ukipost then ukitaka ufute unaenda sehemu ya editing una chagua ku delete picha then una click save changes; hapo hawataikutaKwanza nifundishe ili nikifuta isionekane, hata mtu akiwa amequote.
Maana inabaki hata nikifuta namimi sitaki π₯π₯π₯π₯
Mwalimu wangu Wigelekelo hayupo...
Unanalaje mapema hivyo aunt ππNiwatakie usiku mwema wapendwa
Nilikuwa na kahoma so naona kananizonga Bado madawa yanaleweshaUnanalaje mapema hivyo aunt ππ
Pole sana aunt.. Pata maji mengi sana na hewa ya kutosha...Nilikuwa na kahoma so naona kananizonga Bado madawa yanalewesha
Kapachino ambaye Hana mambo mengi; ye atawasikia kwenye bomba tuWenye nyota zao mzeeeπ π
Sawa aunt najitahid asantePole sana aunt.. Pata maji mengi sana na hewa ya kutosha...
Ugua pole madamme!Nilikuwa na kahoma so naona kananizonga Bado madawa yanalewesha
ππKapachino ambaye Hana mambo mengi; ye atawasikia kwenye bomba tu
Haya aunt ulale salama, Mungu akutunze. Na mie aunt yako nalala sasa.. Leo usingizi mwingi sanaSawa aunt najitahid asante
AsanteUgua pole madamme!
Jamani jamani!Nina test mitambo ππππView attachment 2525602
Mazee kesho goja nifike USA kwanza kidogo π π πKapachino ambaye Hana mambo mengi; ye atawasikia kwenye bomba tu
we furahia tu!ππ