National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,197
Vijana tunataka kuwekeza 😅😅😅sio kuhongaCC
Wajukuu zangu, mmeambiwa muombe mitaji mfunguliwe biashara sio kuomba hela za Saluni kila siku 🤪
Msije kufanya Babu yenu niambiwe nirudishe mahari zenu wakati nimeshazitumia kwa shughuli za shambani 🙊🙌


