Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

raraa reree kiofisi zaidi... nafi imefurahi sasa nipumzishe hekalu
Screenshot_20230215_232659_Instagram.jpg
 
Yatupasa kushukuru tu, hakuna namna..
Kuna sehemu moja hivi California inaitwa Orange County.....
Kule wamejaa wanawake wakilatini (Latinos) kama ambavyo wakina Mwajuma wamejaa Mwananyamala...
Watoto ni wazuri kweli-kweli na wanaishi kiswahi-swahili tu, ukiwa na vipesa kidogo wanaweza kukuaa kabisa
 
Imefikia kipindi nimeona ubatili, nikiangalia nilipotoka na nilipo pita ila mwili hautosheki.. nikasema hapana sasa... Mwili na macho kila vikiona vinataka, nikasema moyoni mwisho wake nini ? Nikaanza fanya zoezi la kuishi na kulala na kuamkia pamoja... Mtihani ulikuwa kufuta memory na yale ma fantasy ... sasa hivi naona kama nimenyooka sijacheza mechi isiyo rasmi kitambo... ingawa lolote laweza tokea haha...
 
Back
Top Bottom