Hii picha imejaa uchoyo mwingi... Ina vigezo vyote vya ubinafsi[emoji24][emoji24][emoji24]
Khaaa sasa hapa si tunaona logo tu...hebu crop crop pakubwa utume tena
Doh!
Ndo umeamua kuturingishia hiyo blauz ama?
Tumakinike ni msimu..
View attachment 1267925
Analala fofofooooo huyu bwana dah
🙄🙄😉Yaani nimefurahi sanaaaaaaa natamani hata nikupe zawadi,, yaani hadi picha yako nimeisave na wewe ni mtu wa tatu kusave picha yako kwa gallery yangu tangu watu waanze kutuma picha zao kwa huu uzi..
Hao wawili wa mwanzo siwataji ni siri yangu ila of all the photos in here wewe ni wa tatu my sister,, nimesave picha za watu watatu tu kutoka kwa huu uzi (ukiachilia mbali wale walionitumia picha zao pm) lol..
Niko hapa nasubiri pic yakoMama wenger...
Hizo piston bado zipo tuu..? [emoji4]
Uwiiiiìii nimepitwa
Hahahaha, hebu tuma yako nami niisave kwa album
Wapendwa why mnafuta picha hali ya kuwa tumekubaliana jana hakuna kufuta.
Niko hapa nasubiri pic yako
[emoji849][emoji849][emoji6]
Kama Depal anapenda sana kufuta picha...
Kila nikiview attachment nakuta katoa alafu huko chini nakutana na comment za wadau ziko fire fire tuu..[emoji45]
Mbona sijacrop ndiyo nilipiga hivyo hivyo[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
Pm kuhusike[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]dada
Nikuone basi shemeji 😍😍 sahii nitakuwa nakutagKama Depal anapenda sana kufuta picha...
Kila nikiview attachment nakuta katoa alafu huko chini nakutana na comment za wadau ziko fire fire tuu..[emoji45]
Anza wewe maana hujawai tupia hata uchebe tuNitumie zile zako umefuta basi..! [emoji12]