Awww for the firsrt time in forever I'm seeing your photo,, daah baada ya miaka mia ya kubembeleza.. ubarikiwe sana mama hakika leo nitalala vizuri,, na hii picha naisave..
Yaani nimefurahi sanaaaaaaa natamani hata nikupe zawadi,, yaani hadi picha yako nimeisave na wewe ni mtu wa tatu kusave picha yako kwa gallery yangu tangu watu waanze kutuma picha zao kwa huu uzi..
Hao wawili wa mwanzo siwataji ni siri yangu ila of all the photos in here wewe ni wa tatu my sister,, nimesave picha za watu watatu tu kutoka kwa huu uzi (ukiachilia mbali wale walionitumia picha zao pm) lol..