Kunywa nyagi acha kudeka budah
Saafi kabisa😉
Wapiii glasses
Vikwapi?!Mnakula tu chips mnavijua viazi vikiwa shamba?View attachment 2512879
Tag location
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati tunakuwa wavivu kujibu hoja kwa maandishi ama kuchangia. Solution hii HAPA sasa. Utashangazwa na matokeo yake...!!!
Utajikuta kwenye ulimwengu wa furaha isiyo kifani. Fanya hivi, hapo ulipo tupia picha yako ya sehemu yoyote mwilini. Epuka picha yenye kuonesha sura kwa sababu za wazi kabisa. Mimi nitaaza na hizi.

Zinaota kama matembele 🙂Mnakula tu chips mnavijua viazi vikiwa shamba?View attachment 2512879
Hapo Chief Mjep.Selfika chief
Chapa kazi mkuuHapo Chief Mjep.View attachment 2513228
hehehe tuheshimu wenye komweView attachment 2513179
Yani yolly yolly unapiga simu kuongea kote huko hata hela ya matunda hujatoa bora mishangazi kuliko utu tu demu twembamba vyenye komwe
Mie na katoto kangu pekee ka ujanani tuko safiiiiiWeee!!kumbe ht sijui Mungu fundi mnoo
Mimi nipo za kwako na katoto hawajambo?