Selfika na JF: Snap it. Show it

Afisa nakubali!


; unamkumbuka mwamba mmmoja hivi alikuwa mfupi kiasi mweusi alikuwa anajua ku point Sana alikuwa anatuzia viwalo vya mashati na kadeti kali kwa bei chee hall v nzima.
Hahahaha nakumbuka saana mzeee.

Na wale wa dada WA usafi nawakumbuka.

Watu walikuwa wanapona saana pale
 
Hahahaha nakumbuka saana mzeee.

Na wale wa dada WA usafi nawakumbuka.

Watu walikuwa wanapona saana pale
Haha usiniambie uliwahi wachakataa;

Dah sema Mimi kipindi hicho nilikuwa domo zege Sana.

Nilikuwa mzee wa kuzoom na kula kwa macho

Saa Saba Saba nilikuwa nakuja kutega kwenye hili daraja hapa na kula kwa macho tu.

 
Haha usiniambie uliwahi wachakataa;

Dah sema Mimi kipindi hicho nilikuwa domo zege Sana.

Nilikuwa mzee wa kuzoom na kula kwa macho

Saa Saba Saba nilikuwa nakuja kutega kwenye hili daraja hapa na kula kwa macho tu.

View attachment 2504079
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ulikuwa tunakula Kwa machoo. Pesa yamsosi tuu ilikuwa takuunga unga sembuse kuwapa hao dada zetu itoke wapi?
 
Lol hongera sana babuuuu! Na Mungu awatunzeeee nakuwalinda mzeeke pamoja mkifurahia penzi lenuu !
Nimependa Bibi alivokusubiri akakuvumilia ulipoenda kupigana vita huko Kagera babu much congratulations to you two πŸ‘πŸ‘πŸ‘!!!

Ups and downs ni kipimo cha uvumilivu na ukomavu kiakili. kwa busara/ hekima zako hapo bibi kapata kilicho chemaaaa!!
Enjoy the valentine and have a good night granpaahhh!!,😴✌️✌️✌️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…