National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,203
nyama inaandaliwa , haha ndo tunamarinate hapa
nyama inaandaliwa , haha ndo tunamarinate hapa
π€£π€£π€£π€£ππππππ Nimeongea kifasihiiiiiiii ndugu mjumbeerr!!π
Halamsiki............. Kumekuchaππππ
Ulijuaje kama ni chungummmh yangu sio tamu .. Chungu
Wivu tuMselfike kwanza
Achaneni na haya mambo ya nyama
Huyu alikua kipangaaaaaaa class zimaaaaa!mzoee huyoo, nshampa ukichaa wangu. Bas hapooooo
Kabla kumfikia mfalmeNational Anthem utaitapika nakuonea huruma . Haina hata stake hahaha
Anatumia sabuni huyo
Huoni mpka alibadil jina akajiita Sijui nanii huko apate wakumuonea huruma
Jinsia gan? Dogoo amebutuaaa sanaaaaa, yaan amepangusaa poteeee. Na palee juu kuna mwngne kagonga ya 12.Huyu alikua kipangaaaaaaa class zimaaaaa!
He was my marking guideee kwa yale maswali korofiiiiii!
Kwenye graduuuuuui zawadi za masomo yotreeee alibeba yeyeee ni alikua anachukua zawadi na kurudi tenaaaa chukuaaa rudiii tenaaaaa hadi ilifikia sehemu wazazi wa wengine ilibidi wacheke tu dogo anavozungukaaaaa kubeba makombee ya zawadi na vyetiiii stahikii!
Mgeni kiasiWee n mgeni hapa, au umebadili names tyuuh.
Sorry lakini??
Oooh bas karibu tenaa.Mgeni kiasi
Nikaribishe na selfie πOooh bas karibu tenaa.
hahaha sawa bossnaisubiri hapa, nimebeba na pili pili na chumvi
Njooo unichambe trani yako kipenziiiiiiiπ₯°π₯°π₯°π₯°π₯°ππi nipo Nafurahia matekeo mieeee! Ziro tulizotarajia zimekuja chachee mnooooooooEm kwani ngoja nikujeee huko tsup. Kukuchachuaaa,
hahahaha nimeionja nikajua ni chungu balaaUlijuaje kama ni chungu
Hebu niionje
Kabla hujaipeleka Kwa mfalme
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Itabidi tumzoe mwalimu wetu cocasticmzoee huyoo, nshampa ukichaa wangu. Bas hapooooo
Mimi bado mdogo ndio tunataka nijue jmn AntonniaNimeongea kfasihiiiiiiii ndugu mjumbeerr!!
Beaurifulπ