National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,176
- 56,199
hali ya maisha tete, bora tufurahie mapendano tu.. yanasahaulisha kwamba mifukoni ni apecha alolo
Vijana hawana ishu sikuhiz 😂😂🤣🤣🤣🤣 sophy bwana!
Nyie watu mnatakiwa kuwa na vijana wenye misuli yao, sie wazee tushachoka!!
vijana hawa hata nguvu za akibaVijana hawana ishu sikuhiz 😂😂
We utakubali kimoko hoi?🤣🤣Vijana hawana ishu sikuhiz 😂😂
Hapo lazima bwana Shetty akuzidi nguvuMzee wa kupambania
Poor Brain
mzabzab
View attachment 2498943... ebu imagine asubuhi umetengewa.. nguvu ya kwenda kanisani inatoka wapi
View attachment 2498943
ERoni shemeji hajambooo
Watu Wana bahat sana asubuhi hii wanaitwa sweetheart 😀Morning sweetheart
Ndo Cha afya 😂mengine Ni kujitafutiaga UTIWe utakubali kimoko hoi?🤣🤣
Hahaha dah! Manake wazee kazi kupetipeti na kubembeleza tu, mengine sifuri kabisa. Kumbe vikizidi hadi UTI wanaambukizana🤣🤣Ndo Cha afya 😂mengine Ni kujitafutiaga UTI
Aunt shikamooWatu Wana bahat sana asubuhi hii wanaitwa sweetheart 😀
Kashaniacha asubuhi hii Yan huu mwaka😂😂
Hana ubavu huo kijana kafa kaozaKashaniacha asubuhi hii Yan huu mwaka😂😂
Yan mambo ya kudeka deka na kubembelezwa ndo mamboyangu hayo hta ukinipea nusu tu naridhika 😀😀😀 vijana Hawa wanaojifanya wajuz kupeana maUTI tu 😂Hahaha dah! Manake wazee kazi kupetipeti na kubembeleza tu, mengine sifuri kabisa. Kumbe vikizidi hadi UTI wanaambukizana🤣🤣
National Anthem na Mjep wanachukua notes, watakuwa wameelewa somo🤣🤣🤣Yan mambo ya kudeka deka na kubembelezwa ndo mamboyangu hayo hta ukinipea nusu tu naridhika 😀😀😀 vijana Hawa wanaojifanya wajuz kupeana maUTI tu 😂
hapana bhana mtoto wa Mungu wewe..Kwahyo sisi ni wa shetan![]()
Nitamuua tu huyo mapema kwa PressureNational Anthem na Mjep wanachukua notes, watakuwa wameelewa somo🤣🤣🤣
hapana bhana mtoto wa Mungu wewe..
Utampelekea moto hadi apate pressure🤣🤣🤣, nakuaminia mkuu...yaani wewe sikupingiNitamuua tu huyo mapema kwa Pressure
hahaha jana ushapewa huko lodge . Mpigie mwende tena hahaEmbu nikiss kama mm mtoto wa Mungu upate mibaraka jumapili ya leo