Bro naomba puppy mmoja
Nataka tulete ka junior kengine mm na wewe unaonaje mchongo huokiduku mpapaso upoooo???
😂 Ndio kakudanganya ni babu muulize Wigelekelo akupe ukweli kuhusu Grahams ni kijana kabisa anamiliki duka lake la hardwareHuyo ni babuuu kabisa sio kijana kuwa na adabu Kijana 😁😁😁😁😂 !! Sijamuona Kitrambo humuu babu yetu hebu muite aje kutupa sayings za maisha wajukuu zake kwanzaaaa
Watoto watatu wananitosha nishafunga uzazi kabisa 😁!Nataka tulete ka junior kengine mm na wewe unaonaje mchongo huo
Hahahaaa.. Wigelekelo poka anahitaji data za babu yetu fanya kumpatiaa😂 Ndio kakudanganya ni babu muulize Wigelekelo akupe ukweli kuhusu Grahams ni kijana kabisa anamiliki duka lake la hardware
Wachache hao tuongeze kamojaWatoto watatu wananitosha nishafunga uzazi kabisa [emoji16]!
khakhakhaaaa!!Wachache hao tuongeze kamoja
Ee unaonajekhakhakhaaaa!!
Hekaheka zenuu humu mi siziwezii🙌!!Ee unaonaje
[emoji1787][emoji23] Vp lakini babu kijana Grahams anaendeleaje?
Huyu na mwenzie Wige lazima nije niwaoneshe cheti changu cha kuzaliwa ndiyo wataamini, wanadhani miaka 78 niliyonayo mchezo 🤗Huyo ni babuuu kabisa sio kijana kuwa na adabu Kijana 😁😁😁😁😂 !! Sijamuona Kitrambo humuu babu yetu hebu muite aje kutupa sayings za maisha wajukuu zake kwanzaaaa
U Babu gani anao?Huyo ni babuuu kabisa sio kijana kuwa na adabu Kijana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23] !! Sijamuona Kitrambo humuu babu yetu hebu muite aje kutupa sayings za maisha wajukuu zake kwanzaaaa