Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hapana sio mad. Mad ni pale utakapoenda pm ukasokotwa vocha ya 50k ukaishia kufunga pm yako kabisaaa. Ogopa mremboo ambaye pm yake ipo wazi 😂 hilo ni tegoo. Master kama unajiweza nenda ila usije rudi kuanzisha thread kule MMU!
Mazee mi ni mdeadly 🤣🤣🤣
 
To be the honest, nikiwa kwa dressing table, nikijitazamaaa had najisemeagaaaa anae nikulaaa anafaidiii, mie mzuriiii bhanaaa.

Jah kaninyimaa takooooo,. Yaan angenipaaaa trakoooooo dadekiii mbna Dunia yangu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mlinzi wa chuoni, akinionaaaa utaonaaa anasemaa "kumekuchaaaa" ashanizoeshaaa .
aise unajikubali hadi raha .wengine hata vioo hatutaki kuviangalia.. Genius huyo ndo anafaidi mtoto wa kingoni.,
 
robbinhood

Hellow ma Dear [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Nimekumic sanaaaa, unajua venyee nakupendaaaa.

Em ukujeee now tuanzie tulipo ishiaaaaa, nakumic had naumwaaaa.
Nimemic kukushikaaa uchebeeee, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]

Hebuu njooo usemee nenooo, nipatee kuponaaa. [emoji171][emoji171][emoji171][emoji171]
 
Hapana sio mad. Mad ni pale utakapoenda pm ukasokotwa vocha ya 50k ukaishia kufunga pm yako kabisaaa. Ogopa mremboo ambaye pm yake ipo wazi [emoji23] hilo ni tegoo. Master kama unajiweza nenda ila usije rudi kuanzisha thread kule MMU!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
To be the honest, nikiwa kwa dressing table, nikijitazamaaa had najisemeagaaaa anae nikulaaa anafaidiii, mie mzuriiii bhanaaa.

Jah kaninyimaa takooooo,. Yaan angenipaaaa trakoooooo dadekiii mbna Dunia yangu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mlinzi wa chuoni, akinionaaaa utaonaaa anasemaa "kumekuchaaaa" ashanizoeshaaa .
kuhusu chura fanya squats utapata la ushikaji na amaizing hv
 
Back
Top Bottom