Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kama kuna uliyemtag akaona basi huo utakuwa muujiza kiufupi wewe bado sana malizia kwanza chuo alafu upate kazi ndio uanze kugombania pisi kali, kwa sasa subiri huruma tu [emoji23]

Afu mm sisomi [emoji41][emoji41]
Ni jobless toka nizaliwe sema mashangazi ya mjini Ndyo yananiweka mjini hapa[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
IMG_3298.jpg
 
[mention]Grahams [/mention] mzee aliye staafu huku kaichia serikali hasara ya bil 8
😂😂 Wacha kusema kwa Sauti kuhusu hili, usije kufanya CAG anipe Hati Chafu Bure Wakati tumeitumikia hii Nchi kwa Uzalendo Mkubwa hadi kustaafu kwa Heshima Miaka 20 iliyopita🤗

Hujambo lakini?

Karibu Kijijini tulime 🤪
 
Back
Top Bottom