Itakuwa jamaa alichefukwa kupitiliza
Haijalishi mmeachana kwa sababu ipi, lakini suala la kumpokonya hadi Zawadi ulizowahi kumpa baada ya Kukufurahisha kwenye 6x6 sio sahihi.
Kuna watu labda Ugeni au nini, Sisi ambao Umri umeenda tumekutana na vingi Sana.
Kuna Wadada Wanajua kujituma kunako 6x6 hadi wewe mwenyewe na akili zako timamu unaamua kumzawadia. Sasa mkigombana ndiyo umpokonye Jasho lake, hiyo sio sawa kwa kweli