Ajajajajajajajajajajajajajaja! Weee mwanamke una balaaa sio dogo ujueeπππππππ!Good morning Selfika βπ©View attachment 2484377
Thanks my love Antonnia mtoto mwenye shepu lake la Kinyarwanda πππππππAjajajajajajajajajajajajajaja! Weee mwanamke una balaaa sio dogo ujueeπππππππ!
Chuchu saa sitaaaπππππ!
Looking so muuaaaaahhhπππππππ
Huko ndiko yalikozaliwa ππππππππππππ!
Lol Mnyarwanda wa Nyakibimbirii hukuuu kipenzi πππ€£π€£π€£π€£!
U Hali gani kipenzi!!
Niko poa sana kipenziπ!Huko ndiko yalikozaliwa πππππ
Salama kabisa sijui wewe dear.
Una vifuuu vimetuna vizuri.Good morning Selfika βπ©View attachment 2484377
Alafu bado unenepi tu.
Nimepita kutoa salam, msalimie pia madam Bantu Lady, na wengine wanaosongesha selfika.Helloowww wa vipaji!β!
Saramu zimefika mkuu usijareeee Beautiful Onyinye Bantu Lady pokea saramu zako pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!! Wabheja sana mkuuNimepita kutoa salam, msalimie pia madam Bantu Lady, na wengine wanaosongesha selfika.
Poa best ERoni asante salamu kwako pia βββNimepita kutoa salam, msalimie pia madam Bantu Lady, na wengine wanaosongesha selfika.
Endeleeni kuselfika wakuu, life's too short..mjipe raha msisubiri tuwapeπ€£π€£Saramu zimefika mkuu usijareeee Beautiful Onyinye Bantu Lady pokea saramu zako pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!! Wabheja sana mkuu
Acha tuendelee kuselfika tyuuuβοΈβοΈβοΈ in kurya voice ππ!
Kumbe babuu Unajua kuimba hivo??Hata nikiwa Sina chakula isinifanyie kusahau, ulinilisha nikasaza.
Hata nikiwa Sina mavazi, isinifanye nikufuru nakusahu umeniweka hai.
Ona wapo marafiki wanakosa kula na kuvaa, hawalalamiki wanakushukuru tu.
Mimi eeh nilikupa nini Baba Cha kunipa kibali kwa siku zilizofurahisha.
Tabu kidogo zisifanye nikusahau, umeshatenda mengi nikiwa hapa.
Shida itapita, bado kidogo, ikiwa nitachoka niinue.
Nipe kukumbuka wema x2
Nipe kukumbuka wema wako πΆ
Nipe Song by Goodluck Gozbert
Sometimes We should be thankful despite of whatever situation we are passing throughπ
Hello Tuesday π₯π€
View attachment 2484487
Acha ubinafsiii wa rahaaaa mkuu hebu Mtupe hukooo!! Kuna raha za kupewa na za kujipa mwenyewe weeeehπ! Eti Bantu Lady nasema uongo???Endeleeni kuselfika wakuu, life's too short..mjipe raha msisubiri tuwapeπ€£π€£
Wabongo wengi hutegemea baada ya kuachana mmoja ashindwe Kula/Akonde na afe kabisa.SIngle and happy πππ
Umemaliza yote ππ»ππ»ππ»ππ» hiyo ndiyo inatakiwa kuwa. Una roho ya kizungu Kaka, uendelee na moyo huohuo... I wish wanaume wote wa kibongo waisome hii ππππππππWabongo wengi hutegemea baada ya kuachana mmoja ashindwe Kula/Akonde na afe kabisa.
Ikiwa kinyume chake (Single and Happy) wengi huumia.
Binafsi huwa nawaombea MaX wangu wafanikiwe na wawe na Amani kwenye mahusiano yao mapya na kama good time wapate kuliko Ile amewahi kuipata kwangu.
Na ikitokea amepata Mume wa Kumuoa, Mchango wa Harusi natoa na kama hana Bajeti ya Shela akiniomba kumlipia nitamlipia.
Yanini kununiana na Mtu mliyespend pamoja Miezi/Mwaka pamoja mkichunguliana πππ
Yani ni Kuna watu ni wanakompliketi sana maisha dear!!Umemaliza yote ππ»ππ»ππ»ππ» hiyo ndiyo inatakiwa kuwa. Una roho ya kizungu Kaka, uendelee na moyo huohuo... I wish wanaume wote wa kibongo waisome hii ππππππππ