Lol hizi Kamera tyuu mkuu!Hapana,uko vizuri Sana.
Nikikuona namkumbuka mwaliku wangu madam Muro,alikuwa anatufundisha chemistry..kile kishundu Kuna wakati ilikuwa nashindwa kuconcetrate wakati wa kuchanganya solution tukiwa maabara.
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Hivi maana ya kishkwambi ni hata hizi simu zetu tunazotumia au ni hivyo vya kwenu tuSauwaaaasauuuwaaa!!
Asante sana mkuu.Amina napokea na ikawe heriAsante sis. Bila shaka mwaka mpya unaendelea vyema kwako na wapendwa wako. Hebu na ukawe mwaka wenye heri na mibaraka tupu kwenu nyote mpaka mshangae 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Hahha ndugu mwenyew nipo kama wew nimekiweka ndani kwanza hata sielew 😂😂😂😂Carrasco putin ulikua unauzilia my kishkwambii!!😂😂😂! Hayaaa hiko hapooo !
Vina kazi gani kwanza hebu mnipe somoooo mburula mieee!!🙃!!!
reymage
sophy27
Eti maazimio , Lesson plans pia tunaandalia humu????🤔🤔🤔
Tena akivaa dera anakua kama sheLol hizi Kamera tyuu mkuu!
Niko flat kabisa mimi!!
Kazini navaa mibwanga sitaki makwazo na watuuu!!
You’re blessed mama.Santeeee kipenzi! vya serikali hivooo !! Naombapo unibless dear kitrambo sana sijakuona 😘😘😘
Namie nimeomba mnipe mwongozo hapooo sielewi Aaa wala beee kuhusu hayo madude!!Hivi maana ya kishkwambi ni hata hizi simu zetu tunazotumia au ni hivyo vya kwenu tu
Ndio namie mnipe mwongozo matumizi yake kwanza!Nataka niweka lain niwe natumia jf 😂😂😂😂 ngoja wanisikie😂😂😂
Thank you sweetheart 😘😘😘You’re blessed mama.
Nitakubless muda si mrefu mama
Hahah Nani huyo???Tena akivaa dera anakua kama she
Duuh mimi sitasahau mwaka fulani kuna siku nilikuwa gerezani pale usiku, ilikuwa msimu wa mvua na kama unavyojua huu mkoa mvua zikinyesha, mafuriko na foleni kila kona plus shida ya usafiri mweeCha ajabu ukienda pale kivukoni muda huu,utakuta nyomi la watu wamepanga foleni wanasubiri mwendokasi ya kukaa.
Na pale Kuna mwendokasi limeshajaa,hawataki kuliondoa eti wanasubiri watu wa kusimama hadi lijae lote na wakati posta ya zamani,halmashauri,kisutu,fire Kuna watu kibao watapanda.
Kwahiyo mnasimama kwenye foleni na magari mengine yamewekwa tu pembeni,ila wanasubiri wanataka watu wapande lililojaa tayari ,na watu hawataki lililojaa,wanasubiri lenye siti maana mbezi ni parefu.
Aliyewaroga viongozi na wasimamizi Tz alishakufa na vifaa vyake.
Si wewe ulivyosema uko flatHahah Nani huyo???
Eendiwoooooooo niko flat mkuu😂😂!Nikivaa hilo dera nachekeshaa sio kidogo!Si wewe ulivyosema uko flat
Eendiwoooooooo niko flat mkuu!Nikivaa hilo dera nachekeshaa sio kidogo!
Haha namtania tu huyo mkuu
Pale gerezani jioni Kuna kugombania magari utadhani watu wanapambania ufalme wa mbinguni 🤣Duuh mimi sitasahau mwaka fulani kuna siku nilikuwa gerezani pale usiku, ilikuwa msimu wa mvua na kama unavyojua huu mkoa mvua zikinyesha, mafuriko na foleni kila kona plus shida ya usafiri mwee
Mimi nilikuwa natoka gerezani naenda morocco, sasa siku hiyo sijui waliamua kutukomoa abiria wa morocco, mwendokasi zote za morocco wakazipeleka kimara na mbezi yani tulipangishwa foleni tu
Nahisi waliona abiria wa morocco ni wachache hivyo wakatuweka pending kwanza, basi abiria wa kimara na mbezi nao hawapoi ilikuwa ni bumper to bumper, ikijaza moja iking'oa inayofuata nayo haikai dakika mbili inajaza inang'oa
Hapo unasikia wanatangaza abiria kituo cha kwanza Ubungo Terminal na bado imejaa dadeki, maana yake hiyo ni express ninyi mnaoshuka katikati hapo sijui Fire hadi Shekilango msipande, maana haishushi kiumbe
Daah yani katika siku nilizowahi kupanda mwendokasi nikakutana na kadhia ile siku sitakaa niisahau asee
Ubarikiwe mpenzi..Hello…wapenzi wa selfika.
Antonnia
Saint Anne
Shimba ya Buyenze
Poker
Grahams
Na wengine.
Hawa ni baadhi ya watu ninaofatilia comments zao🥰🥰
Ndio namie mnipe mwongozo matumizi yake kwanza!