Walisharekebisha tatizo la jam?
Maana gari zilikuwa zinashindwa kuingia kwa wakati.
Daladala zilifunga njia kutokana na kukusanya ushuru hapo mbele pa Kutokea.
Ukitaka uone umuhimu wa mwendokasi,basi panda daladala na unaenda kivukoni au gerezani.
Foleni yake njiani mwenyewe utasurrender
Watu wanapanda mwendokasi si kama wanapenda,La hasha!.
Route ndefu mwendokasi ni nzuri kwa kuwahi.
Anyway,nilikuwa hapo nikaona uchebe nikafananisha na ulioselfika huku,kumbe ni wewe