kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 7,822
- 20,824
Yeah Ni kweli,,, hii mifuko inasaidia Sana kwa Sasa ! Kwetu pia zaman vihenge vilikuwa vinatumikaHuku kwetu tunahifadhi kwenye kihenge mahindi yakishavunwa.,ili yakauke vizuri.
Wakati yanasubiri hatuna za kupukuchua ndio yanakaa kwenye vihenge
Tukishaoukuchua sasa ndio dawa inapigwa kwa ajili ya kuweka kwenye mifuko.
Hii mifuko ya kisasa imerahisisha mambo,hatupigi Tena dawa mahindi.
Mnooooo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Una macho ya kiuchunguzi sana
Haswaaaaaah, hakika ukanda wa juu kisini, ni wakulimaa.Huku kwetu tunahifadhi kwenye kihenge mahindi yakishavunwa.,ili yakauke vizuri.
Wakati yanasubiri hatuna za kupukuchua ndio yanakaa kwenye vihenge
Tukishaoukuchua sasa ndio dawa inapigwa kwa ajili ya kuweka kwenye mifuko.
Hii mifuko ya kisasa imerahisisha mambo,hatupigi Tena dawa mahindi.
Waliokulia mjini watakuwa wanajiuliza kihenge ni Nini [emoji16]Haswaaaaaah, hakika ukanda wa juu kisini, ni wakulimaa.
Hata kwetu pia.
Morning mpendwaaa! Huku kumekucha Salama na tuko bieee kabisaaa!!✌️Good morning 🌅🌄 Tinsley Lovelovie Antonnia cocastic Ms cee Lizzy Lenie myoyambendi National Anthem Carrasco putin Mjep raraa reree Wigelekelo Grahams ! Mvua huku chalinze zinabonda hatarii, amkenii kumekucha. Tukalijenge taifa!
Pamoja sanaSanto sana mpendwa ! Good morning !
😅😅Waliokulia mjini watakuwa wanajiuliza kihenge ni Nini [emoji16]
Kabisa mkuu kipindi hiko palikua hot sanaaaa na Kilinougaa piaa! Sikuhizi mambo yashakua mengiii!!Huenda mkuu, kilikuwa kipindi hot sana kikiongozwa na Antonnia na spidernyoka
Usijali yatapitaKabisa mkuu kipindi hiko palikua hot sanaaaa na Kilinougaa piaa! Sikuhizi mambo yashakua mengiii!!
Kabisa mkuu!Usijali yatapita
Kabisa wale ni wehuuu eti!!😁[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wangemla mandeee.
Hata hawakijuiiii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waliokulia mjini watakuwa wanajiuliza kihenge ni Nini [emoji16]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣! Ni Unashikiliwa upaja kuja kuachiwaaa ...alooooooh!!!😎[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] c anakaushaa hadi maji kwenye kongoshooo, aiiiiiiii stakiiiiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa wale ni wehuuu eti!![emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unafia kitandani mbna.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]! Ni Unashikiliwa upaja kuja kuachiwaaa ...alooooooh!!![emoji41]
Mama injinia hujambo ???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mke mwenzaaa unakwamaaa wapiiii???
Sijambooo dear uko poaaa??Mama injinia hujambo ???
nipo poa vipi wewe dearSijambooo dear uko poaaa??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]