Selfika na JF: Snap it. Show it

Naomba mnisaidie ni namna gani wanahifadhi mahindi na ni dawa gani nzuri kuhifadhia mahindi Kwa muda mrefu na yakawa mazuri
Mshana Jr
ERoni
Antonnia na wengine ambao mnafahamu mnipe maujuzi
Kuna dawa za mahindi, ukienda kwenye duka la pembejeo watakupa

Pia kuna mifuko Fulani hivi, yenyewe haina haja ya kuweka dawa mahindi.
Unayahifadhi hivyohivyo.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Naomba mnisaidie ni namna gani wanahifadhi mahindi na ni dawa gani nzuri kuhifadhia mahindi Kwa muda mrefu na yakawa mazuri
Mshana Jr
ERoni
Antonnia na wengine ambao mnafahamu mnipe maujuzi
Ni mengi kiasi gani, mimi nahifadhi(ya kula na familia) kwenye drums, nahakikisha hakuna hewa inayoingia nafunga na mfuniko hata mwaka hayaguswi na mdudu, sitii dawa yoyote.
 
Ni mengi kiasi gani, mimi nahifadhi(ya kula na familia) kwenye drums, nahakikisha hakuna hewa inayoingia nafunga na mfuniko hata mwaka hayaguswi na mdudu, sitii dawa yoyote.
Kuanzia gunia 5 na kuendelea
 
Naomba mnisaidie ni namna gani wanahifadhi mahindi na ni dawa gani nzuri kuhifadhia mahindi Kwa muda mrefu na yakawa mazuri
Mshana Jr
ERoni
Antonnia na wengine ambao mnafahamu mnipe maujuzi
Kwetu zaman vijijin/swekeni Kuna namna/njia za asili naona Wazee walikuwa wanahifadhi!

Kwanza huwa wanaangalia mwezi,,, hapa nadhan wanazingatia mwez ukitoka tu ndo tar nzuri,,,,

Mahindi yanawekwa kwenye Yale magunia flani ya katani,,,, yanashonwa vyema alafu yanawekwa sehem ya juu,,, mfano kwenye sakafu, kichanja, ama unaweza kupanga mawe, au mbao,,, wakishaweka Kuna vimajani flan wanachukua wanachoma hayo magunia kwa nje,,,Kama kisindano flani !

Hata miaka 10 mdudu hawezi kusogelea !!!!

Back in days
 
Aririiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiih
Miee napendwaaaaaaa!!!
 
Huku kwetu tunahifadhi kwenye kihenge mahindi yakishavunwa.,ili yakauke vizuri.
Wakati yanasubiri hatuna za kupukuchua ndio yanakaa kwenye vihenge

Tukishaoukuchua sasa ndio dawa inapigwa kwa ajili ya kuweka kwenye mifuko.

Hii mifuko ya kisasa imerahisisha mambo,hatupigi Tena dawa mahindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…