Happy New Year tooo babegirl!!Wife material kabisaπ Happy new year guysπ
huko sijapita ebu nitag shangazi ππArosto kareeeee mjombaa! Ulipitia zile nyingine za " walichomfanyia yule mchawi na aliyofukuzwa na dingi hom baada ya kufeli six????
financial services vipi umemaliza ile kitu, nataka nije kukuletea zawadi ya 2023 ghetoHappy New Year tooo babegirl!!
Ulipendeza πππ
Asante aunt mapishi ya January ni tia maji tia maji πselfie kesho aunt huonekan coca kakufungiaAunt yangu mzuri mzuri
Niko poa, umemisika kweli
Ka selfie kahusike tafadhali
Ila hiyo misosi aunt ni hatari sana
Dear Ex naona umenogaWife material kabisaπ Happy new year guysπ
acha nijaribu kumuazima Pellaiah wake kama atakubali na mie nivimbeHuyo mwamba kama Mswati yani kila angle anakaba π naona kashakuwa mzee wa United States sasa
huko sijapita ebu nitag shangazi ππ
Masta noma sana ngoja nizitafute nikutag ..alianza na ya mchawi kisha ya kufukuzwa hom hii ya Maya ni ya 3huko sijapita ebu nitag shangazi ππ
Asikuchanganye huyo mkuu, nazushiwa sina hili wala lile mkuu.Huyo mwamba kama Mswati yani kila angle anakaba π naona kashakuwa mzee wa United States sasa
arosto hizo , kuna watu kila saa wanachungulia kule πππ wameweka kambiMasta noma sana ngoja nizitafute nikutag ..alianza na ya mchawi kisha ya kufukuzwa hom hii ya Maya ni ya 3
Namie zawadi Yangu ya twenty twenty threee mjombaaπππ!financial services vipi umemaliza ile kitu, nataka nije kukuletea zawadi ya 2023 gheto
Hahahah ni maneno ya kizushi tu niyapuuze au sio πAsikuchanganye huyo mkuu, nazushiwa sina hili wala lile mkuu.
Vitu vya masta konki sanaa mjomba!! Amesema akimaliza hii anashusha ya sababu za kufeli six kisa Mtoto wa kitangaaaπππ!arosto hizo , kuna watu kila saa wanachungulia kule πππ wameweka kambi
Yapuuze mkuu, nipo hapa kufurahi na wadau, haya mambo ya kuwekana nawaachia vijana wasongeshe!Hahahah ni maneno ya kizushi tu niyapuuze au sio π
zawadi ya 2023 ipo njiani soon.. itafika au nisubiri kijacho ndio akupokeleee πππNamie zawadi Yangu ya twenty twenty threee mjombaaπππ!
Ulitaka kula saa 12???umechelewa kupika, na njaaa sasa.. ulienda kuzurula eeh
Shikamoo kakaYapuuze mkuu, nipo hapa kufurahi na wadau, haya mambo ya kuwekana nawaachia vijana wasongeshe!
Mgeni gani??πCha mgeni kiko wapi