Ila Kuna ukweli my wangu nakumbuka miaka ya nyuma nipo chuo nilipata engeneer wanajua kupenda wanajua kujali alafu wanahudumi balaa alafu sio waongo waongo Kam wa socialogy
Sema wazazi walizingua mambo ya ndoa ningekuwa Mrs engineer muda huu na watoto sita nadhani