Selfika na JF: Snap it. Show it

Mjukuu bana kha!

Siku na wewe ukifa halafu watu wakafurahi usikasirike! [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] rijaliii kafaa babuuuu, hiyo yote kuoneshaa yeye n mwanaume haswaaaa.

Nimewachachuaa huko kwa group, watu wamepovukwaaa hasa wanaumee wamenitukanaa matusi yotee,. Nimewajibu kwa kifupi.
"Mkamzike rijali mwenzenu huko na mtakufaa sanaa badoo"

Wadada wanachekaaa hatareeee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiyo avatar ni yako?🙄
 
Hebu kaskirinishoti matusi angalau mawili uje uyarushe hapa niamini. Una kamba sana sometimes na wewe [emoji16][emoji16][emoji16]

Ila jamaa kafa kiboya sana. Kujiua sababu ya demu dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…