Ngoja nimwambie Bibi yenu tuanze kuandaa Pass zetu za kusafiria mapema 🤸🤸Yule yuko vizure sana babuu kiukweli mjukuu wako nina bahati sana! Kasema next holiday umwambie unataka kwenda kuspend wapi ata offer everything wewe na bibi hadi vacay iishe!
Aisee nipo standby toka jana nasubiri 🤣Bado upo best????
Fanya hivo babu!!Ngoja nimwambie Bibi yenu tuanze kuandaa Pass zetu za kusafiria mapema 🤸🤸
Haya dakika sifuri napita kama upepoooo!!Aisee nipo standby toka jana nasubiri 🤣
Nipo makini hapa nasubiriHaya dakika sifuri napita kama upepoooo!!
Thanks best nimeona tatizo naogopa kutoa compliments zangu!..ila u look good😉Jack Palladino counting five 1 2 3
Thanks best Kamera tyuuu zinatusevu!! Msamiliieee sana Bantu Lady mwambie nimemmiso sanaaa leo sijamuona kabisa!!Thanks best nimeona tatizo naogopa kutoa compliments zangu!..ila u look good😉
Naona upo na speed ya 5G mkemiaPreseeeeennntttttt !!✋✋✋✋✋!
Karibu tena selfika mjumbe ulitususaaaa sio kidogo!
Kidogo tyu Mjumbe! Fanya kuibles asubuhi yangu basii kitrambo sana ujueNaona upo na speed ya 5G mkemia
Niwekee hapa basi nipate tabasam hapa watu waponeKidogo tyu Mjumbe! Fanya kuibles asubuhi yangu basii kitrambo sana ujue
Ndio Nasubiria yako Mjumbe do the needful pullliiizzzzzzzzzzzzzzz! Sijakuona Kitrambo sanaNiwekee hapa basi nipate tabasam hapa watu wapone
Hapo kwenye kustiri [emoji2][emoji2]Misukule ya Umughaka master keshashuha kitu kuleee !
Uwe na mchana mwema jirani..Huku kumekucha vema jirani
Asante jirani yanguUwe na mchana mwema jirani..
Kumstiri nahisi ninouma Ndiomana Ally mpemba hakutaka kumwambia kwa haraka haraka!!Hapo kwenye kustiri [emoji2][emoji2]
🙏Asante jirani yangu
Enjoy your day...